93. Anayedai katika kivuli cha ´Arshi

91 – Abu Qataadah amesimulia kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:

”Mwenye kumwacha mdaiwa wake au akamsamehe, basi atakuwa katika kivuli cha ´Arshi siku ya Qiyaamah.”[1]

[1] Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh. Ameipokea Ahmad na wengineo. Imetajwa katika ”Swahiyh-ut-Targhiyb wa-Tarhiyb” (2/37).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 109
  • Imechapishwa: 05/07/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy