94. Haramu ni haramu mpaka katika ´Arshi

90 – ´Amr al-Bikaaliy[1] amesimulia kwamba ´Abdullaah bin ´Amr amesema:

”Haramu ni haramu mpaka katika ´Arshi.”

[1] Ni unasibisho wa kabila la Bikaal kutoka Humayr. Kwa mujibu wa maoni yenye nguvu ni kwamba ´Amr huyu alikuwa ni Swahabah. Kun-ya yake ni Abu ´Uthmaan. al-´Ijliy na Abu Zur´ah ad-Dimashqiy wamemjumuisha katika wanafunzi wa Maswahabah wenye kuaminika – na Allaah ndiye mjuzi zaidi. Ahmad (1/399) amesimulia Hadiyth nyingine kupitia kwake, kutoka kwa Ibn Mas´uud, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 109
  • Imechapishwa: 05/07/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy