Miongoni mwa sifa za kipekee za masiku haya kumi ni kwamba ndani yake kuna usiku wa makadirio ambao ni bora kuliko miezi elfu. Tambueni – Allaah akurehemuni – fadhilah za kumi hili na wala mzisipoteze. Wakati wake ni wenye thamani na kheri zake ni zenye kudhihiri na zenye kuonekana.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majaalis Shahr Ramadhwaan, uk. 158
  • Imechapishwa: 14/03/2024