84. Matamshi ya saba ya kumswalia Mtume

7-

اللهم صل على محمد و على آل محمد، و بارك على محمد و على آل محمد، كما صليت و باركت على إبراهيم و على آل إبراهيم، إنك حميد مجيد

“Ee Allaah! Msifu Muhammad na jamaa zake Muhammad na mbariki Muhammad na jamaa zake Muhammad kama Ulivyomsifu na kumbariki Ibraahiym na jamaa zake braahiym. Kwani hakika Wewe ni Mwenye kuhidimiwa na Mwenye kutukuzwa.”[1]

[1] an-Nasaa’iy (47/159), at-Twahaawiy na Abu Sa´iyd bin al-A´raabiy katika ”al-Mu´jam” (2/79) kwa cheni ya wapokezi Swahiyh. Ibn-ul-Qayyim amemnasibishia nayo Muhammad bin Ishaaq as-Sarraaj na akaisahihisha katika “Jalaal-ul-Afhaam”, uk. 14-15. Hapa ametajwa Ibraahiym na jamaa zake kwa pamoja, jambo ambalo limepingwa na Ibn-ul-Qayyim na mwalimu wake. Tayari limesharaddiwa na hakuna haja ya kurejea tena.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 145
  • Imechapishwa: 03/01/2019