Swali 79: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliacha mirathi yoyote?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Sisi Mitume haturithiiwi. Kile tunachokiacha ni swadaqah.”[1]
Hakika mambo yalivyo ni kwamba ameacha elimu; hakika yule mwenye kujinyakulia nayo basi amejipatia fungu nono.
Himdi zote anastahiki Allaah, Mola wa walimwengu. Swalah na amani zimwedee bwana wetu Muhammad, kizazi chake, Maswahabah zake na wote watakaowafata kwa wema hadi siku ya Qiyaamah. Aamiyn.
[1] al-Bukhaariy (3092) na Muslim (1757).
- Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 146-147
- Imechapishwa: 14/11/2023
Swali 79: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliacha mirathi yoyote?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Sisi Mitume haturithiiwi. Kile tunachokiacha ni swadaqah.”[1]
Hakika mambo yalivyo ni kwamba ameacha elimu; hakika yule mwenye kujinyakulia nayo basi amejipatia fungu nono.
Himdi zote anastahiki Allaah, Mola wa walimwengu. Swalah na amani zimwedee bwana wetu Muhammad, kizazi chake, Maswahabah zake na wote watakaowafata kwa wema hadi siku ya Qiyaamah. Aamiyn.
[1] al-Bukhaariy (3092) na Muslim (1757).
Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 146-147
Imechapishwa: 14/11/2023
https://firqatunnajia.com/79-je-mtume-aliacha-mirathi-yoyote/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)