Muumini atapokea daftari lake kwa mkono wake wa kuume ambapo atafurahi na kusema:
هَاؤُمُ اقْرَءُوا كِتَابِيَهْ
“Hebu chukueni someni kitabu changu.”[1]
Kafiri atakipokea kwa mkono wake wa kushoto au nyuma ya mgongo wake ambapo ataita maangamivu na kusema:
يَا لَيْتَنِي لَمْ أُوتَ كِتَابِيَهْ وَلَمْ أَدْرِ مَا حِسَابِيَهْ
“Ee! Laiti nisingepewa kitabu changu na wala nisingelijua hesabu yangu!”[2]
[1] 69:19
[2] 69:25-26
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 123
- Imechapishwa: 30/11/2022