Wakanamungu wamepinga adhabu ya kaburi hali ya kujengea sababu kwamba endapo tutalifukua kaburi basi tutalikuta kama lilivyo. Tunawaraddi kwa mambo mawili:

1 – Dalili ya Qur-aan, Sunnah na maafikiano ya Salaf.

2 – Hali za Aakhirah hazilinganishwi na hali za duniani. Adhabu au neema za kaburi si kama zenye kuhisiwa duniani.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 113
  • Imechapishwa: 28/11/2022