65. ´Aishah alitukufu Nyumba akiwa amevaa Niqaab

6 – Swafiyyah bint Shaybah amesema:

”Nilimuona ´Aaishah akitufu Nyumba hali ya kuwa na Niqaab.”[1]

[1] Ibn Sa´d (8/49) na ´Abdur-Razzaaq katika ”al-Muswannaf” (5/24-25) kupitia kwa Ibn Jurayj, kutoka kwa al-Hasan bin Muslim, kutoka kwa Swafiyyah. Wapokezi wake ni wenye kuaminika isipokuwa Ibn Jurayj ambaye ni mudallis, katika hali hii haweki wazi amesikia kutoka kwa nani.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 108
  • Imechapishwa: 08/10/2023