41. Ni safari ngapi za kijeshi zilifanyika mwaka huo?

Swali 41: Ni safari ngapi za kijeshi zilifanyika mwaka huo?

Jibu: Kikosi cha Hamzah na Wahajiri thelathini walivamia msafara wa Quraysh ndani ya Ramadhaan. ´Ubaydah bin al-Haarith aliongoza msafara wa kijeshi uliokuwa na Wahajiri sitini mnamo tarehe 04 Shawwaal. Sa´d bin Abiy Waqqaas na Wahajiri ishirini wengine walivamia msafara wa Quraysh.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 107
  • Imechapishwa: 07/10/2023