Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
96 – Kaburi ima ni bustani miongoni mwa mabustani ya Peponi au ni shimo miongoni mwa mashimo ya Moto.
MAELEZO
Hii ni sehemu ya Hadiyth aliyoipokea at-Tirmidhiy iliyosimuliwa na Abu Sa´iyd, kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Cheni yake ya wapokezi ni dhaifu. Sehemu yake ya mwanzo ameipokea Abu Ya´laa. Katika cheni yake ya wapokezi kuna Darraaj, kama ilivyo katika ”al-Majmaa´-uz-Zawaaid”[1], ambaye anasimulia Hadiyth zinazopingana na zilizo Swahiyh.
[1] Tazama ”Majma´-uz-Zawaa’id” (3/55).
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 85
- Imechapishwa: 14/10/2024
Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
96 – Kaburi ima ni bustani miongoni mwa mabustani ya Peponi au ni shimo miongoni mwa mashimo ya Moto.
MAELEZO
Hii ni sehemu ya Hadiyth aliyoipokea at-Tirmidhiy iliyosimuliwa na Abu Sa´iyd, kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Cheni yake ya wapokezi ni dhaifu. Sehemu yake ya mwanzo ameipokea Abu Ya´laa. Katika cheni yake ya wapokezi kuna Darraaj, kama ilivyo katika ”al-Majmaa´-uz-Zawaaid”[1], ambaye anasimulia Hadiyth zinazopingana na zilizo Swahiyh.
[1] Tazama ”Majma´-uz-Zawaa’id” (3/55).
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 85
Imechapishwa: 14/10/2024
https://firqatunnajia.com/60-kaburi-bustani-ya-peponi-au-shimo-la-motoni/