57. Du´aa ya kutoa pole kwa aliyefiliwa

  Download 

إِنَّ للهِ ما أَخَذ، وَلَهُ ما أَعْـطـى، وَكُـلُّ شَيءٍ عِنْـدَهُ بِأَجَلٍ مُسَـمَّى، فَلْتَصْـبِر وَلْتَحْـتسِبْ

“Ni Chake Allaah kile alichokichukua na ni Chake alichokitoa na kila kitu Kwake kina muda maalum; basi vuta subira na taraji malipo.”[1]

Ni vizuri pia ikiwa atasema:

أَعْظَـمَ اللهُ أَجْـرَكَ، وَأَحْسَـنَ عَـزاءَ كَ، وَغَفَـرَ لِمَـيِّتِكَ

“Allaah ayakuze malipo yako, akufanye kuzuri kutaaziwa kwako na amsamehe maiti wako.”[2]

[1] al-Bukhaariy (02/80) na Muslim (02/636).

[2] ”al-Adhkaar”, uk. 126 ya an-Nawawiy.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/05/2020