58. Du´aa wakati wa kumwingiza maiti ndani ya kaburi

  Download

163-

بِسْـمِ اللهِ وَعَلـى سُـنَّةِ رَسـولِ الله

“Kwa jina la Allaah na kwa Sunnah ya Mtume wa Allaah.”[1]

[1] Abu Daawuud (03/314) kwa cheni ya wapokezi ambayo ni Swahiyh. Ameipokea pia ameipokea kwa tamko lisemalo:

بسم اللَّة و علي ملة رسول اللَّة

”Kwa jina la Allaah na juu ya mila ya Mtume wa Allaah.”

Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/05/2020