15 – Mu´aawiyah amesema:
”Niliingia na baba yangu nyumbani kwa Abu Bakr (Radhiya Allaahu ´anh) nikamuona Asmaa´ amesimama juu yake. Alikuwa mweupe. Nilimuona pia Abu Bakr (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye alikuwa mweupe zaidi na mwembamba.”[1]
[1] at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr”. Cheni yake ya wapokezi ni nzuri kupitia zingine.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 103
- Imechapishwa: 02/10/2023