51. Ni namna gani anaswaliwa aliyekufa mbali?

Swali 51: Ni namna gani anaswaliwa aliyekufa mbali[1]?

Jibu: Namna ya kumswalia aliyekufa mbali ni kama anavoswaliwa aliyepo mbele yako.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/160).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 39
  • Imechapishwa: 24/12/2021