Swali 49: Je, inafaa kumswalia maiti katika maosheo kwa ambaye hawezi kumswalia msikitini pamoja na watu wengine[1]?

Jibu: Hapana vibaya kufanya hivo ikiwa mahali hapo ni pasafi.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/157).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 38
  • Imechapishwa: 24/12/2021