48. Namna ya kuweza kuwacharagaza washirikina na watu wa batili

Tunasema “Majibu kwa watu wa batili ni katika njia mbili: kwa jumla na kwa kina.”

MAELEZO

Kwa jumla – Ni kanuni yenye kuenea katika kuwajibu watu wa batili kwa sampuli zao zote, katika kila zama na mahala.

Kwa kina – Hii ni ile Radd ya kila utata moja baada ya mwingine.

Ukijua kuraddi utata wa jumla na wa kina basi unakuwa na silaha unayoweza kuwacharagaza na kupambana na washirikina na watu wa batili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 66
  • Imechapishwa: 23/12/2016