Swali: Inajuzu kutazama filamu ya katuni iliyo na sihiri, uchawi na mauzauza?

Jibu: Haijuzu kutazama sihiri na uchawi, sawa uwe kwa sura ya filamu za katuni au kitu kingine. Ni haramu. Huku ni kuridhia dhambi. Jambo hili halijuzu. Ni wajibu kulikataza na kulizuia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
  • Imechapishwa: 23/12/2016