45. Kufahamu kimakosa kuwa utoko hauchengui wudhuu´ kwa kuwa ni msafi

Swali 45: Wako wanaokunasibishia maoni ya kwamba utoko hauchengui wudhuu´.

Jibu: Mwenye kuninasibishia mimi maoni hayo si mkweli. Dhahiri ni kuwa maneno yangu kusema kuwa utoko ni msafi amefahamu kimakosa kwamba hauchengui wudhuu´.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 37
  • Imechapishwa: 27/08/2021