Swali 44: Ni kipi kinachomlazimu mwanamke ambaye alikuwa hatawadhi kwa sababu ya ujinga wa mambo hayo[1]?

Jibu: Ni lazima kwake kutubu kwa Allaah (´Azza wa Jall) na awaulize wanachuoni watambuzi wa hayo.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/uteute-kutoka-kwenye-tupu-unachengua-wudhuu/

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 37
  • Imechapishwa: 22/08/2021