Swali: Ni ipi hukumu wanawake kuhudhuria Tarawiyh? Ni ipi bora katika jambo hilo?

Jibu: Inafaa kwa sharti wakihudhuria wakijiepusha kujitia manukato na kutojipamba. Hata hivyo bora ni pale watakaposwali majumbani mwao.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 37
  • Imechapishwa: 01/04/2022