41. Kisomo cha Qur-aan katika swalah mbili za ´iyd

9- Swalah mbili za ´iyd

Wakati mwingine akisoma (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) Suurah “al-A´laa” katika ya kwanza na Suurah “al-Ghaashiyah” katika ile ya pili[1].

Mara nyingine akisoma ndani yazo Suurah “Qaaf” na “al-Qamar”[2].

[1] Muslim na Abuu Daawuud.

[2] Muslim na Abuu Daawuud.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 107
  • Imechapishwa: 15/02/2017