Swali: Kama mtu amezowea kufunga jumatatu na alkhamisi na tarehe 29 Sha´baan ikaangukia siku mbili hizi, kuna neno kufunga siku hiyo?

Jibu: Hapana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Msiitangulizie Ramadhaan kwa kufunga siku moja au mbili, isipokuwa mtu ambaye alikuwa akifunga swawm. Basi aiendeleze.”[1]

[1] al-Bukhaariy (1914) na Muslim (1082).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 36
  • Imechapishwa: 01/04/2022