Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:

40 – Tumeyaamini yote hayo na tumeyakinisha kuwa yote ni yenye kutoka Kwake.

MAELEZO

Tunamwabudu Alllaah kwa yote yaliyotangulia kutajwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa kitabu hiki. Si kwamba ni maneno tunayoyasema kwa ndimi zetu peke yake, bali yanayoka kwenye mioyo yetu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 55
  • Imechapishwa: 09/11/2022