40. Hadiyth ”Niswalieni kwa wingi siku ya ijumaa.”

40 – ´Aarim ametuhadithia: Jariyr bin Haazim ametuhadithia, kutoka kwa al-Hasan, ambaye amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

أكثروا عليَّ من الصلاة يوم الجمعة

”Niswalieni kwa wingi siku ya ijumaa.”[1]

[1] Cheni ya wapokezi wake ni nzuri, lakini kuna Swahabah anayekosekana. Inatiliwa nguvu na Hadiyth ya (22).

  • Mhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 46
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy