36. Aina ya sita ya majina yaliyochukizwa

6- Imechukizwa kutoa majina yasiyotamanika kama vile Khabayan bin Kannaaz. Imepokelewa kuwa ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) amesema juu yake:

“Hatuna nae haja. Anaficha ilihali babake anakusanya kodi.”[1]

[1] al-Mu´talif wal-Mukhtalif (04/1965) ya ad-Daaraqutwniy.

  • Mhusika: ´Allaamah Bakr bin ´Abdillaah Abu Zayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasmiyat-ul-Mawluwd, uk. 26
  • Imechapishwa: 18/03/2017