35. Aina ya tano majina yaliyochukizwa

5- Imechukizwa kuitwa kwa majina ya mafirauni na majina kama Fir´awn, Qaaruun, Haamaan…

  • Mhusika: ´Allaamah Bakr bin ´Abdillaah Abu Zayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasmiyat-ul-Mawluwd, uk. 26
  • Imechapishwa: 18/03/2017