hapo utapata faida mbili:
- Faida ya kwanza: Ni kufurahi kwa fadhila za Allaah na kwa Rahmah Zake. Kama alivyosema Allaah (Ta´ala):
قُلْ بِفَضْلِ اللَّـهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَٰلِكَ فَلْيَفْرَحُوا هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ |
”Sema: “Kwa Fadhila za Allaah na kwa Rahmah Yake, basi kwa hayo wafurahi.” Hayo ni kheri kuliko wanayoyakusanya!” (Yuunus 10 : 58) |
- Faida ya pili: Umefaidika pia kuwa na khofu kubwa.
MAELEZO
Ukiijua elimu ya uhakika huu basi utafaidika faida mbili:
Faida ya kwanza: Unafurahi kwa fadhila za Allaah kwa vile amekutunuku kuitambua haki kutokamana na batili. Hakika hii ni neema kubwa walionyimwa nayo watu wengi. Amesema (Ta´ala):
قُلْ بِفَضْلِ اللَّـهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَٰلِكَ فَلْيَفْرَحُوا هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ |
”Sema: “Kwa Fadhila za Allaah na kwa Rahmah Yake, basi kwa hayo wafurahi.” Hayo ni kheri kuliko wanayoyakusanya!” (10:58) |
Fadhila za Allaah ni Uislamu na rehema Yake ni Qur-aan. Kwa hiyo wafurahi furaha ya kuishukuru na kuitambua neema. Kufurahia neema za Allaah ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa kuwa ni kumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) kwa neema ya Tawhiyd na kutambua shirki. Ukiongozwa kwa neema hii basi umekusanyikiwa na kheri zote. Kufurahi kwa ajili ya neema ni jambo limewekwa katika Shari´ah. Furaha iliyosemwa vibaya ni kufurahi kwa ajili ya dunia. Amesema (Ta´ala):
وَفَرِحُوا بِالْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا فِي الْآخِرَةِ إِلَّا مَتَاعٌ
“Wamefurahia kwa uhai wa dunia. Uhai wa dunia ukilinganisha na Aakhirah si chochote isipokuwa ni starehe ya muda tu.” (13:26)
Kufurahi kwa ajili ya dunia ni jambo lenye kusemwa vibaya.
Kuhusu kufurahi kwa ajili ya dini na elimu yenye manufaa ni mambo yaliyowekwa katika Shari´ah kwa kuwa Allaah ameyaamrisha.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 51
- Imechapishwa: 26/11/2016
hapo utapata faida mbili:
Faida ya kwanza: Ni kufurahi kwa fadhila za Allaah na kwa Rahmah Zake. Kama alivyosema Allaah (Ta´ala):
قُلْ بِفَضْلِ اللَّـهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَٰلِكَ فَلْيَفْرَحُوا هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ
”Sema: “Kwa Fadhila za Allaah na kwa Rahmah Yake, basi kwa hayo wafurahi.” Hayo ni kheri kuliko wanayoyakusanya!” (Yuunus 10 : 58)
Faida ya pili: Umefaidika pia kuwa na khofu kubwa.
MAELEZO
Ukiijua elimu ya uhakika huu basi utafaidika faida mbili:
Faida ya kwanza: Unafurahi kwa fadhila za Allaah kwa vile amekutunuku kuitambua haki kutokamana na batili. Hakika hii ni neema kubwa walionyimwa nayo watu wengi. Amesema (Ta´ala):
قُلْ بِفَضْلِ اللَّـهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَٰلِكَ فَلْيَفْرَحُوا هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ
”Sema: “Kwa Fadhila za Allaah na kwa Rahmah Yake, basi kwa hayo wafurahi.” Hayo ni kheri kuliko wanayoyakusanya!” (10:58)
Fadhila za Allaah ni Uislamu na rehema Yake ni Qur-aan. Kwa hiyo wafurahi furaha ya kuishukuru na kuitambua neema. Kufurahia neema za Allaah ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa kuwa ni kumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) kwa neema ya Tawhiyd na kutambua shirki. Ukiongozwa kwa neema hii basi umekusanyikiwa na kheri zote. Kufurahi kwa ajili ya neema ni jambo limewekwa katika Shari´ah. Furaha iliyosemwa vibaya ni kufurahi kwa ajili ya dunia. Amesema (Ta´ala):
وَفَرِحُوا بِالْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا فِي الْآخِرَةِ إِلَّا مَتَاعٌ
“Wamefurahia kwa uhai wa dunia. Uhai wa dunia ukilinganisha na Aakhirah si chochote isipokuwa ni starehe ya muda tu.” (13:26)
Kufurahi kwa ajili ya dunia ni jambo lenye kusemwa vibaya.
Kuhusu kufurahi kwa ajili ya dini na elimu yenye manufaa ni mambo yaliyowekwa katika Shari´ah kwa kuwa Allaah ameyaamrisha.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 51
Imechapishwa: 26/11/2016
https://firqatunnajia.com/35-kufurahi-kwa-fadhila-za-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)