34. Ni ipi hukumu ya kusafiri kwa ajili ya kumswalia maiti?

Swali 34: Ni ipi hukumu ya kusafiri kwa ajili ya kumswalia maiti[1]?

Jibu: Hapana vibaya.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/138).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 29
  • Imechapishwa: 19/12/2021