Miongoni mwa ´Aqiydah za Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ni kwamba machumo ya waja yameumbwa na Allaah (Ta´ala). Hawabishani juu yake. Hawazingatii yule ambaye anapinga na kukataa maoni haya ni miongoni mwa wale walioongozwa na watu wa dini ya haki.

  • Mhusika: Imaam Abu ´Uthmaan Ismaa´iyl bin ´Abdir-Rahmaan as-Swaabuuniy (afk. 449)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Aqiydat-us-Salaf wa Aswhaab-il-Hadiyth, uk. 279-280
  • Imechapishwa: 19/12/2023