30. Ni lazima kubadilisha sanda damu ikitoka baada ya kumuosha maiti?

Swali 30: Ni lazima kubadilisha sanda damu ikitoka baada ya kumuosha maiti[1]?

Jibu: Sanda ibadilishwe au ioshwe. Pale pahali kunapovuja damu kuwekwe kitu kinachoizuia kama mfano wa nta au cheginecho.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/129).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 26
  • Imechapishwa: 18/12/2021