29. Kuweka mfuko wa plastiki kwa ambaye yuko na kidonda

Swali 29: Baadhi ya waoshaji maiti huweka ndani ya magari ya ajali mfuko wa plastiki ili damu isitoke kwenye sanda[1].

Jibu: Hapana neno kuweka juu ya kidonda kinachoizuia.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/128-129).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 26
  • Imechapishwa: 18/12/2021