Swali 28: Sanda inakuwa na mafundo mangapi[1]?

Jibu: Jambo hilo halina kikomo. Lakini mafundo matatu yanatosha kwa juu yake, chini yake na katikati yake. Akitosheka na mawili ni sawa pia. Lakini kitu muhimu ni kuifunga vizuri sanda ili isisambae.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/128).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 25
  • Imechapishwa: 18/12/2021