Ni lazima kumwabudu Allaah pekee katika hali zote na ni lazima kutubu kutokamana na shirki, kujutia na kujikwamua. Ama kusema mtu anampwekesha Allaah wakati fulani na wakati mwingine anamshirikisha Allaah hazingatiwi ni mpwekeshaji.

Faida!

Atakayedhibiti misingi hii minne basi itambainikia tofauti ya shirki na Tawhiyd.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Qawaa´id al-Arba´ah, uk. 153
  • Imechapishwa: 15/03/2023