29. Tofauti kati ya washirikina wa kale na wa sasa III

3 – Watu wa mwanzo walikuwa ima wakimwabudu Mtume, mja mwema, mti au jiwe linalomsabihi Allaah. Lakini ambao wamekuja nyuma wakawa ni wenye kuwaabudu makafiri au mafusaki. Ambaye anamwabudu mtenda dhambi au kafiri ni mbaya zaidi kuliko ambaye anamwabudu Mtume au mja mwema.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Qawaa´id al-Arba´ah, uk. 152-153
  • Imechapishwa: 15/03/2023