30. Hadiyth “Yule mwenye kujua kuwa swalah ni haki ya faradhi… “

382 – ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

مَن عَلِمَ أنّ الصلاةَ حقٌ مكتوبٌ واجبٌ دخلَ الجنةَ

“Yule mwenye kujua kuwa swalah ni haki ya faradhi na ya wajibu ataingia Peponi.”[1]

Ameipokea Abu Ya´laa, ´Abdullaah bin Imaam Ahmad, katika ziada zake “al-Musnad”, na al-Haakim katika “as-Swahiyh” yake.

[1] Nzuri kupitia zingine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/276)
  • Imechapishwa: 20/11/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy