05 – Maadili mema
Ni lazima kwa mke awe mwenye adabu katika matamshi na maneno yake. Aidha amchagulie mume wake maneno kama anavyojichagulia vyakula bora kwa ajili yake mwenyewe au zaidi ya hivo.
Jengine ni kwamba ayatangulize yale anayoyapenda mume kabla ya yale anayoyapenda yeye. Haijalishi kitu amechoka anatakiwa kuvumilia na afanye ujasiri wa hayo. Amuonyeshe hayo mume wake.
Ni lazima pia kwa mume kufanya tabia yake kuwa nzuri na mke wake na wala tabia yake mbele ya mke wake isiwe ni kinyume na tabia yake mbele ya watu.
- Muhusika: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Twalaaq – asbaabuhu wa ´ilaajuh, uk. 47
- Imechapishwa: 26/04/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)