Swali 26: Hadiyth isemayo:
“Yule mwenye kumuosha maiti ambapo akamsitiri, basi Allaah atamsitiri siku ya Qiyaamah.”
Ni upi usahihi wa Hadiyth hii[1]?
Jibu: Siitambui. Lakini tuko na Hadiyth Swahiyh inayotutosheleza nayo. Nayo ni maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Yule mwenye kumsitiri muislamu basi Allaah atamsitiri duniani na Aakhirah.”[2]
Ameipokea Muslim katika “as-Swahiyh” yake.
Ni yenye kumuenea aliye hai na maiti.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/124).
[2] Ahmad (5614), al-Bukhaariy (2442) na Muslim (2699) na tamko ni lake.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 24
- Imechapishwa: 17/12/2021
Swali 26: Hadiyth isemayo:
“Yule mwenye kumuosha maiti ambapo akamsitiri, basi Allaah atamsitiri siku ya Qiyaamah.”
Ni upi usahihi wa Hadiyth hii[1]?
Jibu: Siitambui. Lakini tuko na Hadiyth Swahiyh inayotutosheleza nayo. Nayo ni maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Yule mwenye kumsitiri muislamu basi Allaah atamsitiri duniani na Aakhirah.”[2]
Ameipokea Muslim katika “as-Swahiyh” yake.
Ni yenye kumuenea aliye hai na maiti.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/124).
[2] Ahmad (5614), al-Bukhaariy (2442) na Muslim (2699) na tamko ni lake.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 24
Imechapishwa: 17/12/2021
https://firqatunnajia.com/26-mwenye-kumsitiri-maiti-basi-allaah-atamsitiri-duniani-na-aakhirah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)