25. Tiba ya pili ya talaka ambayo ni wanandoa kutekelezeana haki

02 – Kila mmoja wa wanandoa atambue haki ya mwingine[1]

Mume asimdhulumu mke na wala mke asimdhulumu mume. Kila mmoja ana haki yake. Kwa hiyo ni lazima amche Allaah juu ya haki ya mwenza wake.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/category/makala/fiqh/nikaah/matangamano-na-maelewano-kati-ya-mume-na-mke/haqq-uz-zawjayn-kuishi-kwa-wema/

  • Mhusika: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Twalaaq – asbaabuhu wa ´ilaajuh, uk. 41
  • Imechapishwa: 22/04/2024