24. Hivi ndivo wanavoamini Raafidhwah

Raafidhwah. Ni wale wanaojitenga mbali na Maswahabah wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), wanawatukana, wanawapunguza na wanakufurisha Ummah mzima isipokuwa wachache mno. Raafidhwah hawana lolote kuhusiana na Uislamu.

  • Mhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 81-82
  • Imechapishwa: 02/06/2022