2 – Miongoni mwa mambo yanayomsaidia mke kusifika na tabia njema ni kuwa na shauku juu ya yale ambayo Allaah amewaahidi Peponi katika kheri zilizoenea na thawabu nyingi. Ni mambo ambayo hayajaonekanwa na jicho lolote, hayajasikiwa na sikio lolote wala hayajampitikia mtu yeyote kwenye moyo wake.
- Muhusika: Shaykh Muhammad Shuwmaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swifaat-uz-Zawjah as-Swaalihah, uk. 39
- Imechapishwa: 03/10/2022
2 – Miongoni mwa mambo yanayomsaidia mke kusifika na tabia njema ni kuwa na shauku juu ya yale ambayo Allaah amewaahidi Peponi katika kheri zilizoenea na thawabu nyingi. Ni mambo ambayo hayajaonekanwa na jicho lolote, hayajasikiwa na sikio lolote wala hayajampitikia mtu yeyote kwenye moyo wake.
Muhusika: Shaykh Muhammad Shuwmaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swifaat-uz-Zawjah as-Swaalihah, uk. 39
Imechapishwa: 03/10/2022
https://firqatunnajia.com/21-kitu-cha-pili-kinachomsaidia-mwanamke-kuwa-mwema/