22. Kitu cha tatu kinachomsaidia mwanamke kuwa mwema

3 – Kuogopa adhabu na hasira za Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) na mengine yote aliyowaandalia watenda madhambi huko Aakhirah kukiwemo minyororo, utwevu na adhabu kali na iumizayo – Allaah atulinde nazo kutokamana na fadhilah na ukarimu Wake.

Huko kabla tumetanguliza milango miwili; mlango wa kwanza ni mapendekezo ya kuhifadhi na kuzichunga haki za mume na mlango mwingine ni kuhusu matishio ya kuziangusha na kuzipoteza.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad Shuwmaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifaat-uz-Zawjah as-Swaalihah, uk. 39-40
  • Imechapishwa: 03/10/2022