21. Hivi ndivo wanavoamini Bakriyyah

Bakriyyah. Wao pia ni Qadariyyah na wanajinasibisha na nafaka na shilingi. Wanaona kuwa yule ambaye atachukua nafaka au shilingi kwa njia isiyokuwa ya halali, basi ni kafiri. ´Aqiydah yao inakumbushia ´Aqiydah ya Khawaarij.

  • Mhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 80
  • Imechapishwa: 01/06/2022