Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
42 – Safari ya kupandishwa mbinguni ni haki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisafirishwa kwa kupandishwa mbinguni sehemu ya usiku. Safari hiyo ilikuwa katika hali ya kuwa macho na si ndotoni. Kisha akampandisha kule anakotaka Allaah. Allaah akamkirimu kwa yale anayotaka na akamfunulia yale anayoyataka kumfunulia:
مَا كَذَبَ الْفُؤَادُ مَا رَأَىٰ
“Moyo haukukadhibisha yale aliyoyaona.”[1]
Allaah amsifu na amsalimishe duniani na Aakhirah.
MAELEZO
Jambo hili ni miongoni mwa alama za Mola Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kubwa. Ama kusema kwamba yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona Mola wake kwa macho yake ni jambo halikuthibiti, kama tulivyotangulia kulizindua hilo punde. Kwa ajili hiyo mshereheshaji amesema:
”Maoni sahihi ni kuwa alimuona kwa moyo wake na hakumuona kwa macho yake.”
[1] 53:11
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 36
- Imechapishwa: 22/09/2024
Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
42 – Safari ya kupandishwa mbinguni ni haki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisafirishwa kwa kupandishwa mbinguni sehemu ya usiku. Safari hiyo ilikuwa katika hali ya kuwa macho na si ndotoni. Kisha akampandisha kule anakotaka Allaah. Allaah akamkirimu kwa yale anayotaka na akamfunulia yale anayoyataka kumfunulia:
مَا كَذَبَ الْفُؤَادُ مَا رَأَىٰ
“Moyo haukukadhibisha yale aliyoyaona.”[1]
Allaah amsifu na amsalimishe duniani na Aakhirah.
MAELEZO
Jambo hili ni miongoni mwa alama za Mola Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kubwa. Ama kusema kwamba yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona Mola wake kwa macho yake ni jambo halikuthibiti, kama tulivyotangulia kulizindua hilo punde. Kwa ajili hiyo mshereheshaji amesema:
”Maoni sahihi ni kuwa alimuona kwa moyo wake na hakumuona kwa macho yake.”
[1] 53:11
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 36
Imechapishwa: 22/09/2024
https://firqatunnajia.com/20-safari-ya-kupandishwa-mbinguni-ni-haki/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)