Swali 19: Ulikuweje ulinganizi wa kwanza katika Uislamu?
Jibu: Mwanzo ulingano ulikuwa kisiri kwa takriban miaka mitatu. Baada ya hapo akaamrishwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuutangaza hadharani.
- Muhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 96
- Imechapishwa: 15/09/2023