Swali 19: Maiti asipotwahirika baada ya kuoshwa mara saba kuzidishwe[1]?

Jibu: Hapana vibaya ikiwa haja imepelekea kufanya hivo.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/116).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 21
  • Imechapishwa: 15/12/2021