4- Kutoa damu kutoka mwilini kwa kufanyiwa chuku au kujitolea kuchotwa damu ili aweze kumpa mgonjwa. Yote hayo yanamfunguza.
Kuhusu kutolewa damu kidogo – kama ile inayotolewa kwa ajili ya kipimo – hii haiathiri funga yake. Vivyo hivyo kutokwa na damu pasi na kutaka kwake – kama kutokwa na damu puani, katika donda au kung´oa jino – ni mambo yasiyoathiri swawm.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Mulakhasw al-Fiqh (01/384)
- Imechapishwa: 24/04/2021
4- Kutoa damu kutoka mwilini kwa kufanyiwa chuku au kujitolea kuchotwa damu ili aweze kumpa mgonjwa. Yote hayo yanamfunguza.
Kuhusu kutolewa damu kidogo – kama ile inayotolewa kwa ajili ya kipimo – hii haiathiri funga yake. Vivyo hivyo kutokwa na damu pasi na kutaka kwake – kama kutokwa na damu puani, katika donda au kung´oa jino – ni mambo yasiyoathiri swawm.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Mulakhasw al-Fiqh (01/384)
Imechapishwa: 24/04/2021
https://firqatunnajia.com/19-kifunguzi-cha-nne-cha-funga/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)