6 – Muwaalaah [kiungo kimoja kisiwahi kukauka kabla ya kuoshwa cha kufuatia]

Kiwango cha jambo hilo ni kwamba mtu asicheleweshe viungo vya wudhuu´ kwa kitambo mpaka vikakauka vile vilivyoko kabla yake katika hali ya hewa ya kawaida. Akichelewesha kuosha viungo ambavyo ni lazima kuoshwa – kama mfano wa kuondosha uchafu au kukabishwa hodi – basi asisonge mbele katika twahara yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 30-31
  • Imechapishwa: 14/12/2021