18- Wanaficha, wanajigeuza rangi na kuwapaka mafuta wale ambao wanadhania kuwa anaweza kutumikia maslahi yao. Hali zao zinaweza hata kufichikana kwa wanachuoni wanaochanganyika nao kwa muda mrefu kabisa. Kwa sababu wanasema na kufanya mambo ambayo hawawezi kukemewa kwayo na sambamba na hilo wanaficha mengine. Mengine yote wanawafichulia viongozi wao tu au wenye kufanana nao.[1]
[1] Imaam Swaalih al-Fawzaan amesema:
“Kijitabu hichi kilichoko mbele yetu kimeandikwa na ndugu yetu Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Kinatahadharisha mifumo hii, kinabainisha athari zake mbaya na kinahimiza kushikamana barabara na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Allaah amjaze kheri na anufaishe kwa nasaha na maelekezo yake.” (Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 7)
- Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 20
- Imechapishwa: 25/03/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)