18. Sababu ya kumi na saba ya maisha mazuri: Maisha yako yanategemea fikira zako

17- Tambua kuwa maisha yako ni yenye kufuata fikira zako. Ikiwa fikira zako ni katika yale ambayo manufaa yake yanakurejea wewe, katika dini na dunia yako, basi maisha yako yatakuwa mazuri na yenye furaha. Vinginevyo jambo litakuwa kinyume na hivo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Wasaa-il-ul-Mufiydah lil-Hayaat-is-Sa´iydah, uk. 29
  • Imechapishwa: 29/06/2020