18. Hadiyth “Yule mwenye kwenda msikitini wakati wa asubuhi au wakati wa mchana… “

314 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

من غَدا إلى المسجد أو راح؛ أعَدَّ الله له في الجنّةِ نُزُلاً كلما غدا أو راح

“Yule mwenye kwenda msikitini wakati wa asubuhi au wakati wa mchana,  basi Allaah atamwandalia Peponi makazi kila anapoenda wakati wa asubuhi au wakati wa mchana.”[1]

Ameipokea al-Bukhaariy, Muslim na wengineo.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/246)
  • Imechapishwa: 02/12/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy